Kiblagar

Kiblagar ni lugha ya Kivuka-Guinea Mpya nchini Indonesia inayozungumzwa na Wablagar kwenye visiwa vya Pantar, Pura na Ternate. Mwaka wa 1981 idadi ya wasemaji wa Kiblagar imehesabiwa kuwa watu 11,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiblagar iko katika kundi la Kialor-Pantar.


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search